Mitaala 96 Udsm yapitiwa upya iendane na wakati

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefanya maboresho ya mitaala 96 kwa kuipitia upya ili iendane na soko la ajira. Maboresho hayo yamefanywa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Uchumi (HEET) ambao unalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia na mitaala ya taasisi za elimu ya juu ili…

Read More

HAKIELIMU YAZINDUA MRADI WA MAJARIBIO KUWEZESHA WALIMU KUFUNDISHA KWA VITENDO

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la HakiElimu Tanzania limezindua mradi wa majaribio ambao umelenga kukuza ufundishaji wa walimu,kupitia teknolojia ambayo itamwezesha Mwanafunzi kupata picha halisi ya kitu anachofundishwa. Akizungumza leo Septemba 12,2024 Jijini Dar es salaam Mkuu wa Programu Shirika la HakiElimu Bw.Godfrey Boniventura wakati wa uzinduzi wa mradi huo amesema kuwa mradi huo…

Read More

PPAA MGUU SAWA KUTOA ELIMU KWA WAZABUNI KATIKA KANDA

Katika jitihada za kuwafikia wadau wa ununuzi wa umma hususan wazabuni, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeweka mkakati wa kutoa elimu kwa wazabuni katika kanda zote nchini. Akiongea na waandishi wa Habari kuhusu mkakati huo, pembezoni mwa Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha, Katibu Mtendaji wa…

Read More

Serikali yavuna Sh1.8 trilioni sekta ya uziduaji

Dar es Salaam. Serikali imevuna jumla ya Sh1.877 trilioni kutoka kwa kampuni 44 zilizohusishwa katika sekta ya madini, mafuta, na gesi, huku tofauti kati ya malipo na mapato ikiwa ni Sh402.41 milioni kwa mwaka wa fedha 2021/22. Hayo yamebainishwa leo na Alhamisi Septemba 12, 2024 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde alipokuwa akizindua ripoti ya…

Read More