Bashe, Mpina uso kwa uso, wakubaliana kuacha siasa

Dar es Salaam. Baada ya kutoleana vijembe ndani na nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hatimaye Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina wamekutana uso kwa uso. Bashe yupo kwenye ziara ya kikazi kwenye maeneo mbalimbali nchini na leo Ijumaa, Septemba 13, 2024 amefika katika Jimbo la Kisesa linaloongozwa…

Read More

Yanayokwamisha ufanisi wa ATCL yatajwa

Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kukosa umiliki wa viwanja, kutumia ndege kubwa kwa safari za ndani na bei ya nauli kuwa juu,  zimetajwa kuwa sababu za shirika hilo kukosa ufanisi unaotarajiwa. Imeelezwa fedha nyingi hutumika kwa shughuli za uendeshaji tofauti na mapato yanayopatikana. Hayo yameelezwa wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha ‘ATCL…

Read More

Mwanafunzi aliyeuawa vurugu za wananchi, polisi Mbogwe azikwa

Geita. Vilio vimetawala mazishi ya Theresia John (18), mwanafunzi wa kidato cha nne aliyepoteza maisha kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwao, Kijiji cha Lulembela wilayani Mbogwe, wakati wa vurugu zilizotokea baina ya askari polisi na wananchi. Vurugu hizo zilitokana na kundi la wananchi waliofika kituo cha polisi kijijini hapo wakishinikiza polisi iwakabidhi wanaume wawili waliodhaniwa…

Read More

Uhamiaji, Kipanga zaangukia pua ZPL

WAKATI maafande wa Zimamoto na JKU wakishuka uwanjani jioni ya leo katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu ya Zanzibar, juzi Kipanga na Uhamiaji zilipata aibu baada ya kufungwa, huku Mlandege ikibanwa na wageni Junguni nyumbani, kwenye Uwanja wa Amaan B, mjini Unguja. Kipanga ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Gombani, ilifumuliwa na Mwenge mabao 2-1,…

Read More

Airpay Tanzania yadhamini Tamasha la Pili la Fahari ya Zanzibar

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Kampuni ya Airpay Tanzania imetangaza udhamini wake katika tamasha la pili la Fahari ya Zanzibar, linalotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 20 hadi 27, 2024, kwenye Viwanja vya Dimani Fumba, Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, anatarajiwa kuzindua tamasha hilo. Akizungumza leo, Septemba 13, 2024,…

Read More

Tozo saba zapunguzwa mnada wa korosho ukikaribia kuanza

Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred ametangaza kuanza kwa minada ya korosho ghafi nchini ifikapo Oktoba 11, 2024. Alfred amebainisha hayo leo Septemba 13, 2024 mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Seleman Serera mkoani Mtwara wakati wa kikao cha kujadili mfumo wa ununuazi wa korosho. Amesema…

Read More

Patrick Aussems aanza kunogewa Bara

LICHA ya kuwa na mwanzo mzuri katika Ligi Kuu Bara, Singida Black Stars wanajua bado wana kazi kubwa mbele yao. Kocha wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema licha ya kupata pointi tisa katika michezo mitatu iliyopita, anahitaji kuhakikisha kikosi chake kinakuwa bora zaidi. Katika michezo mitatu iliyopita, Singida Black Stars ilivuna pointi sita ugenini baada…

Read More

Bashe na Mpina: Maendeleo kwanza, siasa pembeni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital “Wananchi wa Kisesa tunaenda kuandika historia kubwa kwenye nchi yetu, tupo kwenye mkutano huu pamoja kwa ajili ya maendeleo. Waziri Hussein Bashe Unakaribishwa sana katika Jimbo langu la Kisesa,” amesema Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina. Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo ameendelea na ziara yake mkoani Simiyu leo Septemba…

Read More