UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WATIA FORA TAMASHA LA MABALOZI MJINI THE HAGUE

  Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi  Mhe. Caroline Kitana Chipeta akipongezwa na Meya wa Mji wa The Hague kwa Tanzania kuwa kivutio kikubwa  kwenye Tamasha la Mabalozi 2024 (Embassy Festival) nchini Uholanzi lililovutia watazamaji zaidi ya 50,000 mjini The Hague. Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi  Mhe. Caroline Kitana Chipeta akiwa kavalia mavazi ya asili ya mwanamke wa kimwambao kwenye…

Read More

SEKTA YA UGANI KUPEWA HESHIMA NCHINI

MAAFISA Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza vitendea kazi vya pikipiki, vishikwambi, soil scanners kwa ajili ya upimaji wa afya ya udongo na programu ya kujenga nyumba zao. Amesema hayo tarehe 14 Septemba 2024 wakati wa ziara yake katika…

Read More

Daktari kinara wa tohara kwa wanaume afariki ghafla

Songwe. Wadau wa afya nchini wameeleza mchango wa Dk Daimond Simbeye aliyekuwa mtaalamu wa afya ya umma hasa tohara ya matibabu ya kiume ya hiari (VMVC), inayochangia kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa asilimia 60. Dk Simbeye (56) aliyezikwa katika Kijiji cha Mbulu wilayani Mbozi, alifariki Septemba 9, 2024 baada ya kuugua ghafla na…

Read More