
Trump kwenye “jaribio jingine la kuuawa” – DW – 16.09.2024
Shirika la Ujasusi nchini humo, FBI, limesema Trump, alilengwa katika kile walichotaja “jaribio la kumuua.” Idara ya Usalama wa Taifa na FBI wamesema wanachunguza tukio hilo lililotokea muda mfupi kabla ya saa nane za mchana, kwa majira ya eneo hilo. Risasi zilifyatuliwa kutoka nje ya uzio wa uwanja huo, vimesema vyanzo viwili. Kulingana na maafisa, uwanja huo…