Latra yatishia kufungia leseni madereva

Mbeya. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) mkoani hapa, imesema haitasita kuwafutia leseni madereva wanaokaidi kufuata sheria za barabarani, huku ikiwasihi wananchi kuzingatia usalama wao wanaposafiri. Latra kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani humo, inaendesha operesheni maalum ya kukagua magari yenye makosa mbalimbali kama uchakavu, ukosefu wa vidhibiti mwendo na…

Read More

TEEN PATTI POKER, KASINO YA UTAJIRI NI HII

LEO nakutoa dunia ya kawaida, kisha nakupeleka ulimwengu wa Poker Teen Patti. Ulimwengu wa matajiri, uliojaa pesa kila chaguo unaloweka ni ushindi tu. Jisajili Meridianbet kuanza safari yako. Ulimwengu wa michezo ya kasino ya mtandaoni unasifikia kwa kutajirisha watu kwa dau dogo sana, unapocheza mchezo wa poker mfano huu wa Teen Patti, basi wewe unahesabika…

Read More

Kuziba Pengo la Jinsia – Masuala ya Ulimwenguni

Mwanamke anafanya kazi kwenye kompyuta yake ya mkononi wakati akisafiri kwenda ofisini kwake. Muunganisho wa ICT katika miji ni muhimu ili kuhakikisha kuwa watu wanaweza kufanya kazi popote. Credit: Pexels/ Ketut Subiyanto Maoni na Sanjeevani Singh, Fabia Sauter (bangkok, Thailand) Jumatatu, Septemba 16, 2024 Inter Press Service BANGKOK, Thailand, Sep 16 (IPS) – Wakati Azimio…

Read More

BAKWATA yataka serikali kuchunguza mauaji na utekaji

BARAZA Kuu la Waislamu nchini (BAKWATA), limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi huru kuhusiana na matukio ya utekaji nyara na mauaji ya raia, vitendo vinavyodaiwa kutekelezwa na vyombo vya dola. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita … (endelea). Wito huo umejiri siku moja baada ya Baraza kuu la Maaskofu (TEC), kutoa wito kama huo. Bakwata imesisitiza kuwa…

Read More