
9 wafa, maelfu wajeruhiwa kwenye mlipuko wa “pager” – DW – 18.09.2024
Waziri wa Afya wa Lebanon Firas Fabias amethibitisha idadi hiyo ya vifo, ambavyo miongoni mwake ni msichana. Amesema watu wasiopungua 2,750 wamejeruhiwa na zaidi ya 200 wana hali mbaya kwenye maeneo mbalimbali nchini Lebanon na hasa yanayodhibitiwa na kundi la wanamgambo la Hezbollah. Wanamgambo wa Hezbollah pia wauawa Kundi la wanamgambo wa Hezbollah limesema wapiganaji wake…