
Kijana alivyonusurika kushambuliwa akidhaniwa mwizi wa mtoto
Mwanza/Mbeya. Matukio ya watu kushambuliwa, kujeruhiwa na wakati mwingine kufariki dunia kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa watoto, yameendelea kushika kasi ambapo Msafiri Msekwa (25) amenusurika kushambuliwa na kundi la watu akidhaniwa mwizi wa mtoto. Msafiri amesema alihisiwa mwizi wa mtoto baada ya kumsaidia mtoto mmoja aliyehitaji msaada wa kufikishwa kwa mama yake. “Ilikuwa saa…