MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UFUATILIAJI NA UDHIBITI WA MAGONJWA (IDSR) NGAZI YA MKOA YAFANYIKA IRINGA

Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga katika udhibiti na Ufuatiliaji wa magonjwa imefanya kikao cha mapitio ya utekelezaji wa Shughuli za Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele ngazi ya Mkoa. Waratibu wa Mkoa na Ufuatiliaji wa Magonjwa toka Mikoa 26 walikutana mkoani Iringa kwa lengo la kufanya mapitio ya utekelezaji wa shughuli za…

Read More

MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UFUATILIAJI NA UDHIBITI WA MAGONJWA (IDSR) NGAZI YA MKOA YAFANYIKA IRINGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga katika udhibiti na Ufuatiliaji wa magonjwa imefanya kikao cha mapitio ya utekelezaji wa Shughuli za Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele ngazi ya Mkoa. Waratibu wa Mkoa na Ufuatiliaji wa Magonjwa toka Mikoa 26 walikutana mkoani Iringa kwa lengo la kufanya mapitio ya utekelezaji wa shughuli za…

Read More

VIONGOZI WATAKIWA KUYASEMEA MEMA YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA

 MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Chama na Serikali ngazi ya Kata, kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoendelea kufanya ya kuwaletea maendeleo wananchi ikiwa pamoja na kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Serikali ya awamu iliyopita. Pia,Mpogolo amewataka viongozi hao, kutowafumbia…

Read More

Jeshi la Polisi Tanzania laanza kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchunguzi wa Kisayansi wa Jinai

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi (DCP), Mwamini Rwantale, ametangaza kuwa Tanzania inajiunga na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchunguzi wa Kisayansi wa Jinai, ambapo sayansi hiyo inatoa mchango mkubwa katika kutoa haki na kubaini wahalifu. Rwantale alisema kuwa kila mwaka ifikapo Septemba 20, dunia inaadhimisha siku…

Read More

USTAWI WA JAMII KUWA IDARA KAMILI INAYOJITEGEMEA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akizungumza  wakati akifunga Mkutano wa tatu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii uliofanyika leo Septemba 20,2024 Moshi mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,(hayupo pichani…

Read More

Sh41 bilioni kuwezesha wananchi kiuchumi Zanzibar

Unguja. Ili kuongeza nguvu katika utekelezaji wa dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, kwa mwaka wa fedha 2024/25 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetenga Sh41.6 bilioni kutoa mikopo kupitia programu ya Inuka. Hayo yamebainishwa leo Septemba 20, 2024 na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alipofungua tamasha la pili la Fahari ya Zanzibar. Amesema Serikali…

Read More