Machifu wampongeza Rais Samia kwa kuenzi utamaduni

  VIONGOZI wa Kimila kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Tamasha la Utamaduni la Kitaifa pamoja na kuongeza thamani ya viongozi wa mila iliyoonekana kushuka kwa miaka mingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruvuma … (endelea). Wamesema hatua hiyo ya kuthamini, kufufua misingi na kuenzi tamaduni zilizokuwa zimeanza kuwekwa kando itasaidia kwa…

Read More

Watoto 1,500 wasubiri matibabu ya moyo JKCI

  RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya watoto 1,500 wanaougua magonjwa mbalimbali ya moyo ili wapate matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Naibu Spika wa…

Read More

Halotel, Ubalozi wa Vietnam Tanzania watembelea kituo cha watoto cha Human Dreams

Na Imani Nathaniel Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania ikishirikiana na Ubalozi wa Vietnam Tanzania imefanya ziara maalumu katika kituo cha watoto yatima wenye ulemavu cha Human Dreams Children Village na kutoa msaada. Wafanyakazi wa Halotel wakishirikiana na Ubalozi wa Vietnam Tanzania walifika katika kituo hicho kilichopo Kigamboni na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali, vikiwemo…

Read More

Hii ndio Simba tunayoitaka sasa

HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashujaa wa pambano hilo lililokuwa tamu na la kusisimua walikuwa ni Kibu Denis, Lionel Ateba na…

Read More

Magonjwa 10 yanayoitesa Zanzibar | Mwananchi

Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku nne tangu dunia iadhimishe kumbukizi ya siku ya usalama wa wagonjwa, Zanzibar imeweka wazi magonjwa 10 yaliyoongoza kwa watu wake kutibiwa sana hospitalini kwa miaka mitatu mfululizo kati ya 2021 hadi 2023. Magonjwa hayo yamewekwa bayana kupitia ripoti ya Zanzibar Abstract 2023 iliyochapishwa na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa…

Read More

Kimenya aongeza idadi ya wastaafu Prisons

IDADI ya wachezaji wa Tanzania Prisons kutamani kustaafu soka imeendelea kuongezeka baada ya Salum Kimenya, kuonesha nia ya kutundika daruga ili kugeukia shughuli nyingine nje ya uwanja. Hata ya Kimenya anayemudu kucheza kama beki na winga wa kulia, imekuja baada ya Benjamin Asukile kutundika daruga tangu kumalizika msimu uliopita na kugeukia ukocha ambapo kwa sasa…

Read More