Vijana bilioni 1.3 wanaougua matatizo ya akili, Wenyeji wa Urusi wanakabiliwa na 'kutoweka', sasisho la haki za Belarusi – Masuala ya Ulimwenguni

WHO Mkurugenzi Mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema kuwa kushindwa kushughulikia afya ya kiakili, kingono na uzazi ya vijana kutakuwa na “matokeo makubwa na ya kutishia maisha kwa vijana”. Pia itakuja kwa gharama kubwa kwa jamii, ambayo inahalalisha uwekezaji mkubwa wa umma kutoka kwa serikali ulimwenguni kote. Tedros alibainisha kuwa upungufu wa damu miongoni mwa wasichana…

Read More

PROFESA MKUMBO APONGEZA MASHINDANO YA YST, AGUSIA YANAVYOTATUA CHANGAMOTO

  Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amewapongeza wanafunzi walioshinda katika mashindano ya wanasayansi vijana marufu Young Scientists Tanzania (YST) kwani yanasaidia kupata teknolojia ambazo zitatumika kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa   utoaji wa tuzo kwa washindi wa YST Profesa Mkumbo…

Read More

Nkoba: TFS mmepiga hatua kubwa katika uhifadhi wa misitu, ukuzaji utalii Tanzania

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Utalii, Nkoba Mabula, amepongeza mchango mkubwa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika kukuza utalii ikolojia na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa mazingira nchini.  Akizungumza wakati wa ziara yake kwenye maeneo yanayosimamiwa na TFS jijini Tanga Septemba 23 2024, Mabula alisisitiza umuhimu wa…

Read More

Kuongezeka kwa kasi kwa vurugu huko Gaza, Israel na Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Haya yanajiri wakati afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon Jeanine Hennis-Plasschaert alipoanza ziara rasmi nchini Israel kukutana na maafisa wakuu wa serikali, baada ya akisisitiza kwamba “hakuna suluhu la kijeshi ambalo litafanya kila upande kuwa salama zaidi”. Nchini Lebanon, imeripotiwa kuwa watu wa kusini walipokea jumbe za simu na mitandao ya kijamii siku…

Read More

Beki Al Ahli Tripoli amuomba radhi Deborah Simba

Beki wa Al Ahly Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano. Tukio hilo lilitokea kipindi cha pili ambapo Manzi alionekana kumkanyaga Deborah baada ya wawili hao kuangushana wakati wanawania mpira. Kwenye tukio hilo licha ya…

Read More

RC MACHA AIPONGEZA TANROADS KUWEKA BANGO LA KISWAHILI MRADI UJENZI WA BARABARA YA KAHAMA – KAKOLA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (aliyevaa miwani)akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi…

Read More