Je, hatujajifunza chochote kutoka kwa Gaza, wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wanauliza – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza kutoka Beirut baada ya “siku mbaya zaidi katika miaka 18” ya Lebanon, Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) naibu mwakilishi nchini, Ettie Higgins, alisema kwamba iwapo ghasia hizo hazitakoma, matokeo yanaweza kuwa “yasiofaa”. Mashambulizi makubwa ya Israel yaliyofanywa siku ya Jumatatu kulipiza kisasi mashambulizi ya kundi linalojihami la Hezbollah yaliwauwa watu wasiopungua…

Read More

Amani Endelevu nchini Afghanistan Inahitaji Wanawake kwenye Mistari ya mbele – Masuala ya Ulimwenguni

Fawziya Koofi, Naibu Spika wa zamani wa Bunge nchini Afghanistan, akiwahutubia waandishi wa habari kufuatia mkutano wa “Kujumuishwa kwa Wanawake katika Mustakabali wa Afghanistan”. Credit: Mark Garten/UN Photo na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Jumanne, Septemba 24, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Sep 24 (IPS) – Wanawake nchini Afghanistan wameendelea kutetea haki zao…

Read More

Ni uhalifu au kisasi? | Mwananchi

Tanga/Dar. Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga, amesimulia mara ya mwisho alipowasiliana naye. Awali, akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo…

Read More

Mamlaka za ajira zatakiwa kuwatendea haki watumishi

Dodoma. Naibu Waziri (Ofisi ya Rais), Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka mamlaka za ajira kuzingatia weledi wakati wa kusikiliza malalamiko ya watumishi ili kuiepushia Serikali gharama pindi malalamiko hayo yanapopelekwa kwenye rufaa. Ametaja miongoni mwa udhaifu wa mamlaka hizo ni kutotoa fursa ya mtumishi kujitetea anapokuwa ametuhumiwa na matokeo…

Read More

FCC yatakiwa kujipanga na soko huru la Afrika

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi John Simbachawene ameitaka Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza udhibiti wa bidhaa bandia ili kuwalinda walaji hasa wakati huu ambao soko huru la biashara Afrika linaanzishwa. Pia, ameitaka kutoa elimu kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo ili waelewe kuhusu masuala ya bidhaa bandia na jinsi…

Read More

Mashirikiano PURA, ZPRA yazidi kuimarika

Mashirikiano kati ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) ya Tanzania Bara na Mamlaka ya Uthibiti, Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta Zanzibar (ZPRA) ya Zanzibar yameendelea kuimarika kufuatia jitihada za dhati zinazofanywa na uongozi wa Taasisi hizo kutekeleza Hati ya Makubaliano waliyoingia mwaka 2022. Hayo yamedhihirika wakati wa kikao cha menejimenti za…

Read More

Askofu mstaafu Dk Mokiwa atoa ushahidi kesi ya ardhi

Dar es Salaam. Aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, jinsi alivyoshiriki mchakato wa kutoa eneo kwa ajili ya kupewa aliyekuwa Askofu wa kwanza wa dayosisi hiyo na Askofu Mkuu wa kanisa hilo, hayati John Sepeku. Hayati Sepeku alipewa na kanisa…

Read More