MAONYESHO YA KUKU KUFANYIKA OKTOBA.

            Katibu wa Chama za wadau wa uzalishaji wa vifaranga Tanzania (TCPA), Alpha Ibrahimu akielezea namna  maonyesho hayo yatakavyotoa  fursa kwa wafugaji wote Tanzania akiwa na  Sufia Zuberi Katibu wa TAFM pamoja na Grace Urassa, Mkurugenzi aa Audken Farm.  ….Na mwandishi wetu………….. Wadau wa Tansia  ya ndege wafugwao waliopo chinu…

Read More

MCT yapata rais mpya | Mwananchi

Dar es Salaam. Jaji Mstaafu Bernad Luanda amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), kwa kura 27 kati ya 29 zilizopigwa katika mkutano mkuu wa 26 wa wanachama wa taasisi hiyo. Jaji Luanda atatumikia majukumu hayo katika nafasi hiyo akirithi mikoba ya Jaji Juxon Mlay aliyefariki dunia mwaka huu akiwa nchini India…

Read More

Masharti watumishi wanandoa kuungana | Mwananchi

Dodoma. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewataka watumishi wa umma wanaotaka kuhama kwa lengo la kuwafuata wenza wao wa ndoa kuwasilisha taarifa kwa waajiri wao kabla au ifikapo Oktoba 5, 2024. Hata hivyo, waziri mwenye dhamana na wizara hiyo, George Simbachawene amesema kuna utaratibu utafuatwa, akionya wale watakaobainika kudanganya…

Read More

Hekaya za mlevi: Kijana elimu haijakufunza kuajiriwa

Dar es Salaam, Kuna wakati kila kijana alitamani kuwa msanii. Hii inatokea baada ya akili ya kijana kumwonesha mjomba wake akisota na shahada zake bila kupata kazi. Lakini pia masikio ya kijana yaliwanasa wale waliopata kazi wakalalamikia hali ngumu ya maisha.  Kwa upande wa pili kijana aliwaona na kuwasikia vijana wasanii wakijigamba na majumba na…

Read More

Mama anayedaiwa kuuawa na mwanawe akigombea mali azikwa

Moshi. Wakati mamia ya wananchi wakijitokeza kumzika Adela Mushi (74), mkazi wa Kijiji cha Okaseni, wilayani Moshi anayedaiwa kuuawa na mwanawe wakigombea mali, Paroko wa Parokia ya Mawela, Patrick Soka amesema asilimia 60 ya migogoro iliyopo kijiji hapo ni ya ardhi na urithi. Amesema migogoro hiyo imekuwa ikichochea ukatili yakiwemo mauaji kwenye familia. Padri Soka…

Read More

Rais Samia awapa wanafunzi mbinu ya kufaulu

Namtumbo. Rais Samia Suluhu Hassan amewapa wanafunzi mbinu ya kufaulu mitihani, akisema majibu ya maswali yote yanapatikana kupitia Teknonojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama). Amewataka wanafunzi kuikumbatia Tehama wawe na ujuzi kuhusu akili mnemba (AI). Amesema hayo leo Septemba 27, 2024 baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Dk Samia Suluhu Hassan maalumu kwa wasichana…

Read More

Fuso laua 12 Mbeya wakienda mnadani

Mbeya. Septemba unaweza kuwa mwezi mbaya zaidi mkoani Mbeya kutokana na ajali za barabarani, baada ya watu 12 kufariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Septemba 27, 2024 wilayani Mbeya. Ajali hiyo imetokea eneo la Jojo Kata ya Ilembo, ikihusisha gari aina ya Fuso ambalo lilikuwa likielekea mnada. Alfajiri ya…

Read More