Ziara ya SADC Live Your Dream maandalizi yafikia pazuri

Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku maandalizi yakitajwa kukamilika hivi karibuni Ziara ya Barabara ya SADC Live Your Dream ni tukio muhimu ambalo litalenga kukuza ubadilishanaji wa utamaduni, kujieleza kwa nia ya sanaa, Utalii wa SADC…

Read More

Abiria watajwa kuchochea ajali za barabarani

Iringa. Jeshi la Polisi nchini limewaonya abiria wanaochochea madereva wa vyombo vya usafiri kuwa na mwendo usio salama, kwani huo ndio mwanzo wa kutokea ajali. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 28, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Usalama Barabarani nchini, Michael Deleli wakati akizungumza katika maadhimisho ya miaka 10 ya Baraza la Usalama…

Read More

Zungu: Jamii ijitenge na taarifa zisizo sahihi

Dar es Salaam.  Jamii imeaswa kutofungama na makundi ya watu yenye lengo la kubomoa umoja uliojengeka baina yao kwa kusambaza taarifa zisizo sahihi na kuibua chuki na taharuki. Wito huo umetolewa leo Septemba 28, 2024 jijini Dar es Salaam na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu katika siku ya pili ya mkutano wa 53 wa…

Read More

Miili zaidi yaopolewa Ziwa Victoria ajali ya kuzama mtumbwi

Mwanza. Miili mingine minane imeopolewa Ziwa Victoria baada ya mtumbwi wa mizigo uliobeba abiria wanaodaiwa kufikia 31 kuzama Septemba 25, 2024. Awali, Jeshi la Polisi lilisema lilikuwa likiendelea kutafuta mwili mmoja lakini imeopolewa minane, hivyo kuacha maswali kuhusu idadi ya waliokuwa kwenye mtumbwi huo. Ajali hiyo ilitokea saa 11.00 jioni katika mwalo wa Bwiru wilayani…

Read More

Matumaini mapya ujenzi reli ya kisasa Mtwara-Mbambabay

Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo katika mchakato wa kufanikisha ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Mtwara hadi Mbambabay. Amesema ni kiu ya Serikali kufanikisha hilo ili kuendeleza ushoroba wa Mtwara utakaoiunganisha Tanzania na mataifa mengine jirani. Ingawa ujenzi huo si mchakato wa muda mfupi, amesisitiza lazima itajengwa kwa kuwa ndiyo dhamira ya…

Read More

Chalamila asisitiza amani, ataka wananchi wasidanganyike

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuimarisha amani akisema haijengwi kwa kumwaga damu bali kwa kuelewana. Amesema hayo leo Septemba 28, 2024 akiwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya amani Mkoa wa Dar es Salaam yalifanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga wilayani Temeke. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo…

Read More

RAIS SAMIA AITKA WIZARA YA KILIMO KUANZIA MSIMU UJAO WAKULIMA WANALIPWA MOJA KWA MJOA NA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake mkoani Ruvuma, uliofanyika leo Septemba 28,2024 katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara…

Read More