Vipigo mfululizo Kagera vyashtua kigogo, mastaa

HALI ya Kagera Sugar sio nzuri, kwani juzi imepoteza mechi ya nne kati ya sita ilizocheza katika Ligi Kuu Bara ya msimu huu na jambo hilo limewashtua baadhi ya wachezaji na mtendaji mkuu wa klabu hiyo, Ibrahim Mohamed waliodai sio hali ya kawaida, lakini wakawatuliza mashabiki wakisema timu hiyo inahitaji muda wa kutulia. Kagera imeshinda…

Read More

Simba SC yavuna point tatu Uwanja wa Jamhuri

BAO la penalti ya utata lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Charles Ahoua dakika ya 63, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji katika pambano la Ligi Kuu Bara lililopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Mara baada ya mchezo huo mashabiki wa soka waliijadili penalti hiyo na ushindi huo wa Simba, lakini mashabiki…

Read More

Wagonjwa walia maumivu gharama za matibabu ya moyo

Dar es Salaam. “Nilipojisikia vibaya na kupelekwa hospitali ya Amana waliniambia kutokana na umri wangu nasumbuliwa na presha na sukari, hivyo walianza kunipa dawa za kutibu matatizo hayo.” Hiyo ni simulizi ya Zena Abdalla (65) alipozungumza na Mwananchi leo Septemba 29, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani yaliyofanyika katika Taasisi ya Moyo ya…

Read More

Uboreshaji daftari la wapiga kura chini ya dakika 5

Na. Dennis Gondwe, DODOMA WANANCHI katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kufika katika vituo vya kuandikishia wapiga kura ili kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura mapema kwa sababu zoezi linafanyika chini ya dakika tano.Ushauri huo ulitolewa na Faraja Mbise, mkazi wa eneo la Chang’ombe, Kata ya Ihumwa, Halmashauri…

Read More

CCM Tanga yaagiza uchunguzi miradi yenye harufu ya rushwa

Tanga. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya mkoa huo kuchunguza miradi ya maendeleo inayojengwa ambayo kuna dalili za rushwa na kuwachukulia hatua watakaobainika. Agizo hilo limetolewa leo Septemba 29, 2024 na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah wakati akifungua kikao cha kupokea taarifa ya mkoa kuhusu utekelezaji wa ilani…

Read More

Askofu Shoo: Kanisa litaendelea kupiga vita haki za watu zinapokanyagwa

Arusha. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Fredrick Shoo amesema kanisa litaendelea kushirikiana na Serikali na kupiga vita pale wanapoona haki za watu zinakanyagwa. Aidha amesema ili mikoa nchini iendelee kukua ni wajibu wa Serikali kuweka miundombinu na kuwaachia sekta binafsi kufanya biashara bila kuwaingilia au kuwabughudhi kwa…

Read More

Dk Nkoronko ataja vipaumbele vitano uongozi MAT

Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Mugisha Nkoronko ametaja vipaumbele atakavyoanza navyo katika uongozi wake wa miaka miwili. Miongoni mwa  vipaumbele hivyo kuwa ni kuchagiza huduma bora na salama kwa wagonjwa, kutumia maarifa, weledi, ujuzi, uzoefu na kuunganisha wanachama. Dk Nkoronko ameyasema hayo leo Septemba 29, 2024 alipozungumza na Mwananchi,…

Read More

UDUMAVU KWA WATOTO WAPUNGUA KWA ASILIMIA 30

    MWANDISHI WETU MIKAKATI na nguvu zinahitajika ili kupunguza udumavu nchini licha ya tafiti ya mwaka 2022 kuonesha kupungua kwa asilimia 30 kutoka asilimia 50 kwa mwaka 1972. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mtaalamu wa Lishe na Mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi ya Lishe Tanzania, Ester Nkuba katika semina ya kuwajengea uwezo…

Read More

PIGA PENALTY UONDOKE NA KITITA

MCHONGO ni mmoja tu leo piga penalty ushinde kitita cha kutosha kupitia mchezo mpya wa kasino unaoitwa Beach Penalties ambao unaptikana kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet. Kwenye mchezo wa Beach Penalties unachotakiwa kukifanya ni kimoja kufunga penalty zako tano ambazo zitakua na odds nzuri halafu unayakua zako mkwanja, Hii ni ya kipekee na…

Read More