PURA, M&P zajadili mradi wa uchorongaji visima Mnazi Bay

Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya mazungumzo na mwendeshaji wa Kitalu cha Mnazi Bay (Kampuni ya Maurel et Prom Exploration Production Tanzania Ltd) kujadili mradi wa uchorongaji wa visima vitatu vya gesi asilia unaotarajiwa kutekelezwa mwanzoni mwa mwaka 2025. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, Septemba 30, 2024 katika Ofisi za PURA Dar…

Read More

MAAFISA WASAIDIZI WA UCHAGUZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA WAPATIWA MAFUNZO , WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA UADILIFU.

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Bi. Regina L. Bieda, leo Septemba 30, 2024, ametoa mafunzo maalum kwa maafisa wasaidizi wa uchaguzi katika ngazi za kata na vijiji. Katika mafunzo hayo, Bieda amewakumbusha wasimamizi hao kuzingatia sheria, kanuni, na taratibu zote za uchaguzi, huku akisisitiza umuhimu wa…

Read More

BARRICK YATOA MSAADA WA KOMPYUTA KATIKA SEKONDARI YA WASICHANA

Wanafunzi wakipokea kompyuta zilizotolewa na BarrickMgeni Rasmi kutoka Barrick, Georgia Mutagahywa (kushoto)akionyeshwa ramani ya miundombinu ya shule hiyoWanafunzi wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Barbro Johansson wakionyesha kompyuta zilizotolewa na kampuni ya Barrick wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyoMeneja Mawasiliano wa Barrick nchini (Corporate Communications and Country Liaison Manager), Georgia…

Read More

Bashe aonya janjajanja ununuzi wa korosho, mnada ukianza

Dar es Salaam. Wakati msimu wa korosho ukitarajiwa kuanza kesho, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hatasita kuwafutia leseni wafanyabiashara wakubwa na wadogo watakaoleta janjajanja katika ununuzi wa zao hilo kuu la kibiashara kwa mikoa ya kusini. Bashe ambaye yupo ziarani mkoani Mtwara ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 30, 2024 na kusema kuwa anatambua…

Read More

BILIONI 14.5 KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 135 RUVUMA

-KAYA 4,455 KUNUFAIKA Na Mohamed Saif, Ruvuma Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleleza mradi wa shilingi bilioni 14.56 wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 Mkoani Ruvuma utakaonufaisha Kaya 4,455 mkoani humo. Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA Kanda ya Kusini, Mhandisi Deogratius Nagu amebainisha hayo Septemba 30, 2024 Mkoani Ruvuma mbele ya…

Read More