Mbunge Mavunde awakumbuka mama lishe Dodoma

Na. Faraja Mbise, DODOMA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde, ameahidi kuwatengenezea mazingira mazuri na rafiki ya kufanyia biashara mama lishe waliopo pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.Mavunde alizungumza hayo mara baada ya kumaliza zoezi la uzinduzi wa ujenzi wa jengo la kupumzikia wananchi lilipo nje ya Hospitali ya Rufaa…

Read More

Wakulima wa mwani Mafia walia mabadiliko ya tabianchi

Mafia. Baadhi ya wanawake wilayani Mafia wanaojishughulisha na kilimo cha mwani na biashara ya samaki wametaja ukosefu wa elimu kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na ukosefu wa masoko,  kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili kiasi cha kushindwa kujimudu kiuchumi. Wamesema kutokana na kuwa na hali mbaya kiuchumi, kumekuwa na unyanyasaji wa jinsia kwa wanawake na watoto,…

Read More

Polisi waimarisha ulinzi Dar, wafanya doria kila kona

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linafanya doria jijini Dar es Salaam na viunga vyake kuanzia jana Septemba 20, 2024 askari wenye silaha wakiwa kwenye magari wakizunguka huku na kule. Mbali ya magari yenye askari wakiwamo wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), pia kwenye baadhi ya maeneo wanazunguka na gari la maji maarufu washawasha. Mwananchi…

Read More

Benki ya Akiba sasa kusogeza huduma zaidi mtaani

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Taasisi za kifedha zimeshauriwa kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi kwa kuwasogezea karibu na kuwapunguzia adha ya kutumia muda mwingi na umbali mrefu. Wito huo umetolewa Septemba 21, 2024 Dar es Salaam na Kaimu Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya Akiba, Danford Muyango, wakati akizindua kampeni…

Read More