Serikali kufanya mapinduzi tasnia ya Kahawa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali imewahakikishia wakulima na wamiliki wa viwanda vya kukoboa Kahawa nchini kuwa itatengeneza utararibu wa kuuza kahawa ili kuwa na mfumo wa uwazi wenye bei itakayomnufaisha mkulima kwa kuchagua bei anayoitaka. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) alipofanya ziara ya ukaguzi katika Kiwanda cha Kupokea na…

Read More

Watatu waachiwa huru usafirishaji kilo 21 za heroini

Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru washtakiwa watatu walioshtakiwa kwa makosa ya kusafirisha kilo 21.67 za dawa za kulevya aina ya heroini. Hukumu iliyowaachia huru washtakiwa hao wakazi wa jijini Dar es Salaam imetolewa jana Septemba 20, 2024 na Jaji Sedekia Kisanya aliyesema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha…

Read More

Skimu 8 za umwagiliaji kunufaisha wananchi wilayani Nyasa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wananchi wa Kijiji cha Lundo, Kata ya Lipingo, Wilaya ya Nyasa wamehakikishiwa kuwa na kilimo cha umwagiliaji cha uhakika kufuatia Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa skimu 8 za umwagiliaji eneo hilo. Wakulima hao wanalima zaidi mazao ya mpunga, muhogo, michikichi, mipera, kahawa na mengine. “Changamoto zetu zaidi ni skimu…

Read More

AREJESHEWA TABASAMU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI REKEBISHI NA KUONDOLEWA UVIMBE KILO TANO ULIOMSUMBUA MIAKA 25

Mkazi wa Lindi, Bw. Karume Karume (41) aliyesumbuliwa na uvimbe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa zaidi ya miaka 25, leo ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kufanikiwa kufanyiwa upasuaji rekebishi na watalaam wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuondolewa uvimbe wenye uzito wa kilo tano. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Rekebishi…

Read More

WAZIRI BASHE AWAPIGA MARUFUKU WANAONUNUA KAHAWA KWA NJIA YA KANGOMBA, AGUSIA UWEKEZAJI

Na Mwandishi Wetu,Ruvuma. WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza uwekezaji mkubwa unaofanywa katika zao hilo umelenga  kuteka soko la kahawa ya Tanzania kimataifa. Amesisitiza Serikali kwa sasa inawekeza katika kahawa kwa kugawa miche na mbolea ya ruzuku hivyo,anatarajia kupigwa vita na wafanyabiashara…

Read More

HEKAYA ZA MLEVI: Kiswahili cha waswahili changamoto

Dar es Salaam, Hivi haikushangazi kuona asilimia kubwa ya wanafunzi wanafaulu masomo ya kigeni kuliko somo la Kiswahili, lugha waliyozaliwa kwao na wanayoitumia wakati wote? Kiswahili ni kigumu sana.  Unaweza kuwa daktari bingwa baada ya kupata alama ndefu kwenye masomo ya sayansi, lakini ukiulizwa matokeo yako kwenye mtihani wa Kiswahili unaweza kupigana. Kiswahili si sawa…

Read More

Mabadiliko biashara ya kahawa nchini yaja

Mbinga. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema mfumo wa biashara ya kahawa nchini utafanyiwa mabadiliko makubwa yanayolenga kuwanufaisha wakulima, badala ya mfumo wa sasa aliouita wa unyonyaji unaowaongezea umaskini wakulima wa zao hilo. Alibainisha kuwa biashara isiyo rasmi ya kahawa, maarufu kama Magoma ni haramu na kuielekeza mamlaka wilayani Mbinga kukamata na kuitaifisha kahawa yote…

Read More