Serikali yatangaza mabadiliko biashara ya kahawa nchini

Mbinga. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema mfumo wa biashara ya kahawa nchini utafanyiwa mabadiliko makubwa yanayolenga kuwanufaisha wakulima, badala ya mfumo wa sasa aliouita wa unyonyaji unaowaongezea umaskini wakulima wa zao hilo. Amebainisha kuwa biashara isiyo rasmi ya kahawa, maarufu kama Magoma, ni haramu, na kuielekeza mamlaka wilayani Mbinga kukamata na kuitaifisha kahawa yote…

Read More

UDSM WASHAURI KUWEKWA KWA UZIO SHULE YA MSINGI CHANGANYIKENI

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof.William Anangisye,ameiomba halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuweka uzio kwenye shule ya msingi Chakanyikeni iliyopo wilayani humo ili kuongeza umakini kwa wanafunzi waliopo katika shule hiyo. Amesema hayo leo Septemba 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya makabidhiano ya vyoo vya kisasa kwenye…

Read More

Mabalozi kukutana juu ya kuongezeka kwa mzozo wa Lebanon, na eneo 'liko ukingoni mwa janga' – Masuala ya Ulimwenguni

OCHA/Lebanon Kijiji cha Tayr Harfa kusini mwa Lebanon kiliathiriwa na uhasama katika eneo la Blue Line (picha ya faili). Ijumaa, Septemba 20, 2024 Habari za Umoja wa Mataifa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura mjini New York siku ya Ijumaa kuanzia saa tatu usiku, kufuatia mashambulizi ya Israel katika…

Read More