Kutumia Elimu Kukomesha Mzunguko wa Kizazi wa Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake katika Pasifiki – Masuala ya Ulimwenguni

Dk Hilda C. Heine, Rais, Jamhuri ya Visiwa vya Marshall, akiondoka kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa baada ya kuwasilisha hotuba yake kuu wakati wa siku ya kwanza ya Mkutano wa 15 wa Miaka Mitatu wa Wanawake wa Pasifiki. Credit: Chewy Lin/SPC na Catherine Wilson (Sydney) Ijumaa, Septemba 20, 2024 Inter Press Service SYDNEY, Septemba…

Read More

BASHE APIGA MARUFUKU WAFANYABIASHARA WANAONUNUA KAHAWA KWA NJIA YA KANGOMBA

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe (mb) amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya Kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa katika zao hilo umelenga kuteka soko la kahawa ya Tanzania kimataifa. Amesisitiza kuwa serikali kwa sasa inawekeza katika kahawa kwa kugawa miche na mbolea ya ruzuku hivyo,anatarajia kupigwa vita na wafanyabiashara…

Read More

Jeshi la Polisi lazuia mikutano ya Chadema, ACT-Wazalendo

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limezuia mikutano ya hadhara iliyokuwa ihutubiwe na viongozi wa vyama vya siasa vya ACT-Wazalendo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) iliyokuwa ifanyike Tanga na Dar es Salaam. Wakati barua ya Jeshi la Polisi kwa Chadema ikieleza zuio hilo ni kutokana na tishio la usalama likihusisha maandamano yaliyopangwa kufanyika…

Read More

Wananchi 5, 000 kunufaika na umeme vijijini Tabora

Tabora. Jumla ya vitongoji 180 vya majimbo 12  mkoani Tabora, vinatarajiwa kuunganishwa na umeme katika mradi wa umeme kwenye vitongoji wa HEP,  utakaotekelezwa kwa muda wa miaka miwili na kampuni ya Sinotec kutoka China. Akizungumza na Mwananchi jana Septemba 19, 2024, Meneja wa Miradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mkoa wa Tabora, Mhandisi Oscar…

Read More