Rais Samia aihakikishia JWTZ hali nzuri wakati wote

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha wanajeshi wanapitia nyakati nzuri wakati wote. Kauli hiyo inatokana na kile alichoeleza kuwa, anatambua kwa sasa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuna muda linapitia nyakati mbaya na nzuri. Rais Samia ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametoa…

Read More

BENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO"

Tumezindua rasmi program yetu ya TUPO MTAANI KWAKO kupitia timu yetu bobezi ya mauzo. Sasa tunakufikia popote ulipo kupitia timu yetu ya mauzo kupata huduma zetu za kufungua akaunti , elimu ya mikopo pamoja na jinsi ya kutumia huduma zetu za kidijitali za VISA card, ACB Mobile, Akiba Wakala na Internet Banking. Program hiyo inaenda…

Read More

Mbeya City, Bigman hakuna mbabe Championship

Pamoja na kuruhusu mashabiki kuingia bure katika Uwanja wa Sokoine,  mashabiki wa Mbeya City wameondoka uwanjani vichwa chini baada ya timu yao kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Bigman katika mchezo wa Ligi ya Championship.  Mchezo huo ambao ulikuwa wa ufunguzi, Mbeya City walikuwa wenyeji ambapo matarajio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini…

Read More

Serikali yaweka mikakati kuendeleza wabunifu

Dar es Salaam. Serikali na wadau wa teknolojia wamedhamiria kuziinua kampuni changa bunifu (startups), ili kufikia malengo ya kuwawezesha vijana kujiajiri na kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Hayo yamesemwa jijini Dar es     Salaam kwenye hafla ya utoaji zawadi kwa washindi watatu wa mashindano ya ubunifu kwenye teknolojia (U.S Tanzania Tech Challenge 2024) iliyoandaliwa na ubalozi…

Read More

MAHALI UTAJIRI UNAPOANZIA, NI SLOTI YA WILD HOT 40

*Sloti ya Wild Hot 40 KUTANA na mchezo bomba wa kasino ya mtandaoni, mchezo was loti utakaokupa faraja na ushindi mkubwa kwa aina yake ya uchezaji ilivyo rahisi. Jisajili na Meridianbet kupata nafasi ya kuucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni. Wild Hot 40 ni mchezo wa Sloti wenye kiwango kikubwa cha ushindi, mchezo huu…

Read More

Watatu  mahakamani tuhuma za mauaji ya mama na mwanawe

Dodoma. Watu watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na kusomewa mashitaka ya mauaji ya mama na mwanawe waliokuwa wakazi wa Mtaa wa Muungano ‘A’ kata ya Mkonze wilayani Dodoma. Kesi hiyo namba 23436 ya mwaka 2024 iliyoko kwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Zabibu Mpangule, imetajwa kwa mara ya…

Read More

WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MAREKANI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga alipowasili nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) leo Septemba 20, 2024.

Read More

Nyuki akumbatiwa, Tabora United Ikipigwa nyumbani 

TABORA United wamekuwa na msemo maarufu kwamba ‘nyuki hakumbatiwi’ kutokana na ukali wa mdudu huyo, lakini leo nyuki amekumbatiwa baada ya timu hiyo kukung’utwa mabao 3-1 na Fountain Gate katika mchezo wa Ligi kuu Bara uliochezwa  kwenye Uwanja wa Alhasan Mwinyi mjini Tabora. Awali, mshambuliaji wa Tabora United, Heritier Makambo alikosa mkwaju wa penati baada…

Read More

C-UNIT WANASEMA “ODIESHI” NI MUDA WA KUJIAMINI

Mapacha wanaoimba, Onyedika Pascal Ike na Onyebuchi Anthony Ike, wanaojulikana pamoja na kitaaluma kama C-UNIT, wameweka jina lao kwenye tasnia ya muziki kwa wimbo mpyaambao si tu unakuburudisha na kukufanya ucheze usiku kucha, bali pia unakuamsha na kukufanya ugonge mlango wa hatima yako ili uchukue hatua na kujitokeza. Kulingana na kundi hilo na menejimenti yao,…

Read More