
Majaliwa aagiza kuimarishwa ufuatiliaji na tathmini kuleta maendeleo
-Atoa Maagizo Matano Kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini -Dk. Biteko Awataka Wataalam kuilinda Taaluma Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amezitaka taasisi za ufutiliaji na tathmini kufanya kazi kwa weledi na kuimarisha eneo hilo ili kuendana na mahitaji yanayolenga kuleta tija katika utoaji wa huduma kwa wananchi….