MAVUNDE AGAWA MITUNGI YA GESI DODOMA MJINI

MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,akabidhi mitungi ya gesi  kwa taasisi za umma ikiwemo shule za msingi na Sekondari, Vituo vya afya , Zahanati pamoja na Mama Lishe na Baba lishe ili kupunguza adha ya uchafunzi wa mazingira leo Septemba 20,2024 jijini Dodoma MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini…

Read More

Mkuu wa Wilaya Serengeti akutana na wazee

Na Malima Lubasha, Serengeti Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara,Kemirembe Lwota,amekutana na wazee kwa lengo la kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili pamoja na kujadili maendeleo ya miradi inayotekelezwa akiwataka kuendelea kuhimiza, kudumisha na kuilinda amani wilayani kukemea vitendo vya ukatili katika jamii. Lwota amefanya kikao jana Septemba 19,2024 katika Ukumbi wa CCM Wilaya ikiwa ni…

Read More

Wakimbizi Afrika Magharibi na Kati wafikia milioni 14 – DW – 20.09.2024

Kamishna Mkuu wa UNHCR, kanda ya Afrika Magharibi na Kati Abdouraouf Gnon-Konde, amesema idadi hiyo imeongezeka kutoka wakimbizi milioni 6.5 mwaka 2019 hadi milioni 13.7 mwaka 2024. Idadi ya wakimbizi inatarajiwa kuongezeka Gnon-Konde amewaambia waandishi habari mjini Abidjan nchini Ivory Coast kwamba kufikia mwishoni mwa mwaka huu, wanatarajia idadi hiyo kuongezeka kufikia kati ya watu…

Read More

Tanzania yapangwa kundi la kifo Afcon ufukweni

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni imepangwa katika kundi la vigogo kwenye fainali za Afrika za soka la ufukweni zitakazofanyika mwezi ujao huko Misri. Katika droo iliyochezeshwa jana huko Cairo, Misri, Tanzania imepangwa katika kundi A lenye timu za Misri, Ghana na Morocco. Misri ambayo ni mwenyeji wa fainali hizo mwaka huu,…

Read More

DK.NDUMBARO AWAPA SOMO WATANZANIA WASIIGE TAMADUNI ZA KIGENI

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro,akizungumza wakati akizindua Tamasha la tatu la Utamaduni Kitaifa kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea,leo Septemba 20,2024. Na Mwandishi Wetu, RUVUMA WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila na desturi za kitanzania na kuwarithisha watoto na vijana ili kujiepusha na…

Read More

NAIBU WAZIRI PINDA AONYA MAAFISA ARDHI WANAOKIUKA MAADILI

Na MwandishI Wetu Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amesema kuwa hakuna afisa Ardhi atakayehamishwa eneo la kazi endapo atakiuka maadili ya utendaji wa taaluma yake. Amesema hayo Septemba 19, 2024 katika mkutano wa pamoja wa wananchi na watumishi wa Ardhi ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkoa wa…

Read More

NMB yajitosa kuidhamini Yanga dhidi ya CBE CAF CL

  KUELEKEA pambano la marudiano raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL 2024/25), dhidi ya CBE ya Ethiopia, mabingwa wa Tanzania, Yanga wameitambulisha Benki ya NMB kuwa ni mmoja wa wadhamini wa mechi hiyo, ushirikiano uliopewa jina la ‘Timu Bora, Benki Bora’. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Yanga wanashuka dimbani Jumamosi…

Read More