
OPERESHENI YAWANASA USIKU WANAOVUNJA SHERIA ZA BARABARANI ARUSHA, WATUHUMIWA WASHIKILIWA.
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha. Ikiwa ni mwendelezo wa operesheni ya nchi nzima inayofanywa na kikosi cha Usalama Barabarani ili kuzuia ajali imeendelea kutoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria na watumiaji wa vyombo hivyo ambapo kikosi hicho kimebaini uwepo wa baadhi ya madereva wanaotumia mwanya wa usiku kuvunja sheria huku madereva na…