NMB ‘yakazia’ mafunzo ya uongozi na usimamizi jumuishi kwa wanawake

  MAFUNZO ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, yamefungwa Ijumaa Septemba 27, huku washiriki wakitakiwa kuweka alama chanya kwenye maisha ya wanaowaongoza, pamoja na kuwapa nafasi ya kuonesha uwezo wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). Mafunzo hayo yaliyoshirikisha wanawake viongozi kutoka Taasisi…

Read More

Ubunifu wa JKCI waendelea kuishangaza Afrika na Dunia

  TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeendelea kushangaza mataifa mbalimbali kwa umahiri wake wa matibabu ya kibingwa ya moyo ambao safari hii imeadhimisha siku ya moyo duniani kwa kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 30 Zambia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zambia … (endelea). Wiki moja kabla ya siku ya moyo duniani JKCI ilipeleka madaktari…

Read More

Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne kutolewa leo

Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024.   Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 inawakabili…

Read More

Vijana tumieni mitandao ya kijamii kupongeza mazuri yaliofanywa na Serikali -MNEC ASAS

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Salim Asas amewataka vijana wote nchini kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa anayoendelea kufanya ya kuwaletea maendeleo wananchi ambapo amesema ni muhimu vijana kupitia mitandao ya kijamii kuwajibu wanaomchafua Rais, badala ya kutumia mitandao kujipiga picha zisizo…

Read More

Mbivu, mbichi waliotumwa na afande ni leo

  HUKUMU ya kesi ya jinai ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es saalam (jina limehifadhiwa), inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kesi hiyo Namba 23476 ya Mwaka 2024, inawakabili washtakiwa wanne, wakiwamo askari wa…

Read More

Wacheza bao walivyoasisi jina la Mwanza

Siku tulifika Mwanza tulipokewa vizuri… Hizi ni baadhi ya beti za wimbo Mwanza uliowahi kuimbwa na nguli wa muziki wa dansi nchini, hayati Remmy Ongala akiusifu mji huo. Huwezi kuielezea kanda ya ziwa bila ya kuutaja Mkoa wa Mwanza, eneo lenye maendeleo zaidi sio tu kanda hiyo lakini pia eneo zima la kaskazini magharibi mwa…

Read More

Dar kutoka mji wa neema na afya hadi mji wa amani

Jina Dar es Salaam, ni neno lenye asili ya Kiarabu  ‘Daarul Salaam’ yaani nyumba ya amani. Kwa mujibu wa historia iliyomo kwenye wavuti wa mkoa,  Jiji la Dar es Salaam linaelezwa kuanza kama kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima yaani mji wenye neema au afya. Japo mji unatajwa zaidi kuanza miaka ya 1850, lakini…

Read More