
Von der Leyen aizuru Ukraine kujadili usalama wa nishati – DW – 20.09.2024
Majadiliano hayo ni muhimu ikizingatiwa kwamba sehemu kubwa ya miundombinu ya nishati ya Ukraine imeharibiwa na mashambulizi ya Urusi tangu kuanza kwa vita miaka miwili na nusu iliyopita. Ziara ya Von de Leyen mjini Kyiv inafanyika baada ya kushuhudiwa makabiliano makali wakati wa msimu wa kiangazi unaoelekea ukingoni ambayo yamesababisha uharibifu wa kutisha kwenye mifumo…