USAMBARA TOURISM FESTIVAL LITUMIKE KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA-RC TANGA

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Dkt. Batilda Buriani ameagiza Tamasha la Utalii la Usambara 2024 (Usambara Tourism Festival 2024) litumike kuhamasisha Wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Amesema hayo alipotembelea Wilayani Lushoto akiwa na Kamati ya Usalama ya Mkoa kwa ajili…

Read More

Kibano chaja kwa wamiliki wa matrekta

Madaba. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kuandikishwa kwa wafanyabiashara binafsi wanaotoa huduma za kuwalimia wakulima kwa matrekta ili kuboresha ufuatiliaji wa huduma zinazotolewa kwa wakulima nchini. Usajili huo pia unalenga kuanzisha njia za kuwafanya walipe kodi katikati ya shutuma za kuwatoza wakulima gharama kubwa wakulima huku wenyewe wakikusanya fedha pasipo kulipa kodi. Bashe alitoa…

Read More

DC KUBECHA AMALIZA MGOMO WA DALADALA MWAHAKO, MKOANI TANGA

Na Ashrack Miraji (Tanga) MKUU wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha, amemaliza mgomo wa daladala zinazofanya safari kati ya Chalinze, Mwahako, Machaui, na Raskazone.  Mgomo huo ulisababishwa na barabara mbovu ambazo zimekuwa zikiharibu magari,wanafunzi pamoja wafanyakazi kuchelewa kwenye majukumu yao  hasa wakati wa mvua. Madereva walitumia fursa hiyo kumuomba Mkuu wa Wilaya kutengenezewa barabara hiyo,…

Read More

MABORESHO ZAIDI YANATARAJIWA SEKTA YA ELIMU,WADAU WAFANYA TATHIMINI

Na Mwandishi Wetu SERIKALI kwa kushirikiana na wadau wameanza kufanya tathimini ya maeneo ya vipaumbele katika sekta ya elimu kwa lengo la kuhakikisha maboresho zaidi yanashuhudiwa katika sekta hiyo nchini. Imeelezwa maboresho hayo yanalenga hasa uendelezaji wa taaluma ya ualimu, kadhalika mpangilio mzuri wa ajira za wanataaluma hao itakayolingana na mahitaji huku ikifafanuliwa baada ya…

Read More

TASAF WASHIRIKI KONGAMANO LA UTUATILIAJI, TATHIMINI ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu BAADHI ya Watumishi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wameshiriki Kongamano la tatu la ufuatialiaji na tathimini unaofanyika Zanzibar na kushirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali. Mbali na watumishi hao, pia walengwa na wanufaika wa mfuko huo walishiriki maonyesho ya bidhaa mbalimbali kwenye kongamano hilo. Akizungumza wakati wa kongamano hilo, Mtaalam wa…

Read More

, SAMIA CUP yazinduliwa Morogoro

Morogoro Kusini Mashariki inajengwa kwa sauti zaidi ya moja zenye kupaza juu mafanikio kwa kila sekta. Kwetu sisi kuamua ni jambo tusiloweza kuliacha kwa maana tunajua kuwa upo uwezekano wa kufanikiwa katika yote na kufanikiwa zaidi kwenye machache. Michezo ni sehemu yetu pia ambayo tunaamini tunaweza kufikia malengo makubwa kama Jimbo na Mtu mmojammoja. Katika…

Read More

WANAWAKE WANAOSUMBUKA KUPATA MTOTO, TUMIA NJIA HII!

Jina langu ni Sauda kutokea Moshi Tanzania, nimeishi katika ndoa zaidi ya miaka saba sasa na mume wangu, Jose katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu sana msongo wa mawazo. Kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata…

Read More