
Mlandizi Queens yaanza hesabu mapema WPL
Mlandizi Queens imesema itapambana msimu huu kuhakikisha inatengeneza timu kisha msimu ujao kuchukua ubingwa. Ikumbukwe Mlandizi ndio mabingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu wa 2016/2017 na tangu hapo Simba Queens na JKT Queens zimekuwa zikitawala ligi hiyo. Kocha wa timu hiyo, Jamila Kassim aliliambia Mwanaspoti, malengo yao kwanza ni kutengeneza kikosi…