
SERIKALI YAPONGEZWA MIAKA 30 YA ELIMU JUMUISHI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mhadhiri Mwandamizi kutoka chuo kikuu Kishiriki cha Mkwawa Dkt. Joseph Milinga amesema katika kipindi cha miaka 30 ya Elimu Jumuishi nchini Serikali imeweka kipaumbele katika ujumuishi wa wanafunzi wenye uoni na uandaaji wa walimu katika vyuo vya Ualimu. Ameyasema hayo wakati akitoa mada kuhusu jinsi watoto wasioona wanavyojumuishwa kwenye kupata huduma ya elimu mchini wakati…