
Rwanda yaanza zoezi la kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa mpox – DW – 20.09.2024
Hayo yamesemwa jana na kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika, Afrika CDC. Daktari Nicaise Ndembi kutoka kituo cha Afrika CDC amefahamisha kuwa zoezi hilo la kutoa chanjo lilianza mnamo siku ya Jumanne na lililenga wilaya saba zenye “watu walio katika hatari kubwa” wanaoishi kwenye mipaka jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Nigeria…