
Kizimbani wakidaiwa kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa
Dar es Salaam. Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sibuti Nyabuya na Joseph Mpangala. Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu Anna Magutu imetajwa mahakamani hapo…