Mafanikio na changamoto za demokrasia ya Tanzania – DW – 19.09.2024

Ripoti hiyo inatolewa wakati wadau walioshiriki mjadala wa ripoti hiyo, wakisisitiza maridhiano na amani kama njia kuu ya kuleta suluhu kwa yanayoendelea nchini ikiwamo utekaji, mauaji namadaiya kuminywa demokrasia kwa vyama vya upinzani. Ripoti mpya ya  tathmini ya Hali ya Demokrasia nchini Tanzania imetolewa leo ikionyesha kuwepo changamoto na mafanikio kadhaa katika utekelezwaji wa misingi…

Read More

Silaa: Tunataka vijana wajiajiri kupitia ubunifu wa kiteknolojia

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silla amesema ubunifu wa kidigitali ndio njia pekee itakaowezesha vijana kujiajiri na kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Ameyasema hayo leo Septemba 19, 2024 katika kongamano la mashindano ya ubunifu wa teknolojia (US-Tanzania Tech Challenge 2024) yaliyoandaliwa na Ubalozi wa Marekani lililofanyika jijini Dar es…

Read More

UEFA CHAMPIONS LEAGUE INATIMUA VUMBI TENA LEO

UEFA Champions League ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea kutimua vumbi tena usiku wa leo katika viwanja mbalimbali, Michezo kadhaa ya kibabe itapigwa ambapo unaweza kushinda kitita kizito kupitia michezo hii. Meridianbet wao hawana baya wanaendelea kumwaga Odds nono kwenye michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo, Wakiwa wanarahisisha wewe kushinda mamilioni kwani Odds…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Afrika Mashariki tuitendee haki Chan

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Patrice Motsepe hivi karibuni alitangaza habari njema ambayo nchi za Tanzania,  Kenya na  Uganda hapana zingeifurahia. Motsepe alitangaza fainali za mataifa ya Afrika zinazohusisha wachezaji wanaocheza katika Ligi za Ndani (Chan) zitafanyika mwakani katika nchi hizo kuanzia Februari Mosi hadi 28 mwakani. Hiyo inakuwa ni mara ya tatu…

Read More

Scania yajitosa mabasi ya mwendokasi

Dar es Salaam. Ikiwa imesalia miezi mitatu kabla ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), awamu ya pili kutoka Mbagala hadi Gerezani kuanza, Kampuni ya Scania Tanzania Limited imeonyesha nia ya kuuza mabasi yatakayofanya kazi katika mradi huo. Kwa mara ya kwanza leo Septemba 19, 2024 kampuni hiyo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram…

Read More

WAZIRI MKUU MSTAAFU AELEZA MAMBO MATATU KUIMARISHA HALI YA DEMOKRASIA NCHINI

Na Avila Kakingo, Michuzi Tv WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba ametaja mambo matatu yanayoonesha kuwa Demokrasia nchini imeimarika licha ya kuwepo na dosari mbalimbali. Akizungumza leo Septemba 19, 2024 wakati kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Demokrasia duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Septemba 15….

Read More

Taoussi aanza kugawa dozi, Azam ikiizamisha KMC

BAADA ya kucheza mechi tatu mfululizo bila kufunga bao lolote, jioni ya leo Alhamisi, Azam FC ikiwa chini ya kocha Rachid Taoussi imepata ushindi mnono kwa kuishindilia KMC mabao 4-0 katika mfululizo w mechi za Ligi Kuu Bara. Azam ikicheza uwanja wa ugenini wa KMC Complex, ilipata ushindi huo uliokuwa wa kwanza msimu huu katika…

Read More

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA USAID WANAWAKE SASA

Na WMJJWM-DAR ES SALAAM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema Mradi wa Wanawake unaotekelezwa Shirika la WiLDAF kwa kushirikiana na Mashirika ya Her Initiative na Jamii Forums, kwa ufadhili wa Watu wa Marekani (USAID) wenye thamani ya Tsh. Bilioni 8.1 utaleta chachu na kuongeza ushiriki wa…

Read More

‘Boni Yai’ asomewa mashtaka mawili, ombi la dhamana latolewa

Dar es Salaam. Aliyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti yake ya X ili mpelelezi aweze kuviingilia na kuvifanyia uchunguzi. Pia,…

Read More