
Kriketi T20… Dar yaibeba Malawi kufuzu kombe la dunia
MALAWI ndio pekee iliyotoa upinzani mkali kwa Tanzania katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa kriketi ya mizunguko 20 ambapo Tanzania ilishinda kwa mikimbio 19 tu katika mchezo wake wa hitimisho. Kwa Tanzania ilikuwa ni jambo linalotegemewa kushinda michezo yote mitano, lakini haikuwa rahisi mbele ya Malawi ambayo michuano hii imewapa tija…