WAZIRI JAFO:MARUFUKU WATANZANIA KUCHANGANYA MAZAO

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakitembelea na kukagua Ghala la Mpako linalotumia Mfumo wa Stakabadhi liilopo Wilaya ya Liwale ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Maalum katika Mkoa wa Lindi kwa lengo kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini…

Read More

Tano zaombeana mabaya BDL | Mwanaspoti

WAKATI timu zikiwa zimebakiza michezo miwili zikamilishe michezo 30  ya mzunguko wa pili wa Ligi ya Mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), imeonekana ushindani utakuwa   kwa timu tano zinazopambana kujinasua zisishuke daraja. Timu hizo ni KIUT yenye pointi 34, Mgulani JKT (33), Jogoo (33), Crows (32), Chui (29). Kati ya timu hizo,…

Read More

TTCL KUENDELEA KUTOA MCHANGO WA MAWASILIANO KUHAKIKISHA WANAFIKISHA HUDUMA KWA WANANCHI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MATUMIZI.

Mhandisi Cecil Mkomola Francis Mkurugenzi wa Ufundi na Uendeshaji -TTC akitoa ufafanuzi wa Jambo kwa Waandishi wa habari Jijini Arusha Mhandisi Cecil Mkomola Francis Mkurugenzi wa Ufundi na Uendeshaji -TTCL akimpa ufafanuzi Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb) katika Mkutano wa Kimataifa wa TEHAMA na Mawasiliano, (Connect 2 Connect Summit…

Read More

MCHEZO MPYA WA KASINO, PIGA PENATI SHINDA MAMILIONI

KAMA ulikuwa haujui basi nakujuza, Meridianbet Imeongeza mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni, ili ushinde unatakiwa k upiga penati zako 5 za kibabe, na kila mpigo mmoja una odds zake za ushindi, ukiona unataka kuishia njiani una kusanya hela zako za ushindi. Beach Penalties ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoweza kucheza kwa dau dogo…

Read More

BASHE: WAKULIMA WA RUVUMA NI WEREVU KUFUATA SAYANSI YA KILIMO

WAKULIMA wa Mkoa wa Ruvuma wamepongezwa kwa kuwa werevu wa kufuata sayansi ya kilimo katika uzalishaji wa mazao. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara tarehe 19 Septemba 2024 baada ya kukagua Kituo cha Kuuzia Mahindi cha Mtyangimbole, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma. Vile vile, Waziri…

Read More

HALMASHAURI TEKELEZENI MAAGIZO YA RAIS SAMIA- MHE.KATIMBA

OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto wachanga. Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo mkoani Kigoma akimwakilisha…

Read More

Mbowe: Hatutarudi nyuma katika kutetea haki

Dar es Salaam. Kufuatia mfululizo wa matukio ya utekaji na mauaji ya wananchi na viongozi wa chama chake, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hawatarudi nyuma katika kutetea haki katika taifa hili. Mbowe amebainisha hayo leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 wakati wa mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wenye lengo la kutathmini hali…

Read More

Rufaa ya wafungwa wa Yemen, athari za Kimbunga Yagi, kupunguza masaibu ya wanaotafuta hifadhi, ongezeko la pesa taslimu – Masuala ya Ulimwenguni

Zaidi ya wafanyakazi 50 kutoka Umoja wa Mataifa, mashirika yasiyo ya kiserikali ya kimataifa na kitaifa, mashirika ya kiraia, na balozi za kidiplomasia, wanashikiliwa na de facto Mamlaka ya Houthi katika mji mkuu, Sana'a. Kwa kuongezea, wafanyikazi wanne wa UN wamezuiliwa tangu 2021 na 2023. Kulinda wafanyakazi wa misaada “Mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa kibinadamu,…

Read More

Tano zaombeana mabaya LIGI DAR

WAKATI timu zikiwa zimebakiza michezo miwili zikamilishe michezo 30  ya mzunguko wa pili wa Ligi ya Mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), imeonekana ushindani utakuwa   kwa timu tano zinazopambana kujinasua zisishuke daraja. Timu hizo ni KIUT yenye pointi 34, Mgulani JKT (33), Jogoo (33), Crows (32), Chui (29). Kati ya timu hizo,…

Read More