
DC Shaka awaonya wanaojichukulia Sheria mkononi.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Usalama wa Wilaya hiyo amewataka wananchi kuacha kujichukulia Sheria mkononi badala yake wafuate utaratibu wa kufikisha changamoto zao kwenye mamlaka husika ili zipatiwe ufumbuzi. DC Shaka ameyasema hayo wakati akizungunza na wananchi wa Kijiji cha Dumbalume kilichopo Kata ya Berega baada…