Warioba: Tulipohoji mihimili kuingiliana tulijibiwa ‘tunawashwa washwa’

Dar es Salaam. Jaji mstaafu Joseph Warioba amekumbuka kipindi ambacho alihoji muingiliano wa mihimili ya Bunge, Mahakama na Serikali jambo ambalo amesema halipo sawa kiutendaji, walijibiwa kuwa wanawashwa. Msingi wa hoja ya Jaji Warioba ilikuwa ni kuonyesha namna mihimili hiyo inavyopaswa kufanya kazi pasi na kuingiliana. “Nadhani mwaka 2016/17 baadhi yetu tukatoa ushauri kwa wanaoanza…

Read More

Tanzania yazidi kupanda viwango vya Fifa

Kuvuna pointi nne kwa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Ethiopia na Guinea hapana shaka kumechangia kusogea huko kwa Tanzania katika viwango vya ubora wa soka duniani. Tanzania imepanda hadi katika nafasi ya 110 kutoka ile ya 113 iliyokuwepo katika…

Read More

Mwili wa mtoto aliyezama akiogelea Ziwa Victoria wapatikana

Bukoba. Mwili wa mtoto Rwegasira Jackson (14), aliyezama akiogelea Ziwa Victoria katika fukwe za Gymkana, Manispaa ya Bukoba, Mkoa wa Kagera, umepatikana kando mwa Mwalo wa Bunena ukiwa umeharibika. Mtoto huyo alizama katika ufukwe huo Jumapili ya Septemba 15, 2024, alipokuwa amekwenda na rafiki yake na tangu siku hiyo jitihada zilikuwa zikifanyika za kumtafuta baina…

Read More

Mbwana akiri ushindani ulikuwepo | Mwanaspoti

KOCHA wa Dar City, Mohamed Mbwana amekiri haikuwa kazi rahisi kwa timu hiyo kupata ushindi mbele ya UDSM Outsiders wakati wakiishindilia pointi 73-60 katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwenye Uwanja wa Donbosco Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Ushindi huo umeifanya Dar City inaendelea kuongoza katika ligi hiyo kwa pointi 53,…

Read More

Rais mwinyi akutana na Princess Sophie wa Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameihakikishia Uingereza kwamba Zanzibar inaendelea na mikakati na juhudi kubwa ya kuhakikisha inadhibiti na kuumaliza ugonjwa wa Trakoma (Trachoma) nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) aliyepo Zanzibar kwa ziara ya siku sita kutembelea…

Read More

Viongozi Bawacha wakutana Dar, Mnyika awapa maelekezo

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la wakazi ni turufu itakayowawezesha kushinda viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Uandikishaji wa uchaguzi huo utakaohusisha vijiji 12, 333, vitongoji 64,274 na mitaa 4,269 utafanyika kuanzia…

Read More

Tofauti kati ya Kongo na Zambia zakaribia kumalizika – DW – 19.09.2024

Mazungumzo hayo yanayoongozwa na makatibu wakuu wawili wa wizara za biashara wa Kongo na Zambia,madhumuni yake nikukagua utekelezwaji wa makubaliano baina ya serikali za mataifa hayo mawili kuhusu mazingizra  mazuri ya biashara mipakani. Congo ikiwa kila mara inazitilia shaka shughuli za  Zambia hasa kuhusu uingizaji  bidhaa  Congo, jambo linalopelekea Kinshasa kupoteza pesa nyingi za mapato …

Read More

Waandishi 17 wa Mwananchi kuwania tuzo za Ejat

Dar es Salaam. Waandishi 17 wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ni miongoni mwa wateule 72 watakaowania tuzo za umahiri za uandishi wa Habari (Ejat) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Kati ya waandishi 72 watakaoshiriki kinyang’anyiro hicho Septemba 28, 2024 wanaume ni 45, sawa na asilimia 62.5 na wanawake ni 27 sawa…

Read More