
Polisi yamtia mbaroni kiongozi maarufu wa upinzani Tanzania – DW – 19.09.2024
Wadau hao wanasema mwenendo huo unaweza kuchagiza kuvunjika kwa amani na kuiweka rehani demokrasia na utawala bora katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Mtazamo huu wa wanaharakati na wadau wa siasa wameuelezea siku moja tu baada ya kada wa Chadema na Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob, maarufu Boni Yai, kukamatwa jana…