Mwandishi wa habari The Guardian Morogoro afariki Kwa ajali
Morogoro. Mwandishi wa habari aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Guardian mkoani Morogoro, Michael Sikapundwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akirudi nyumbani kutoka kazini. Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Morogoro, Nickson Mkilanya amethibitisha kifo cha mwandishi huyo ambaye siku chache zilizopita amerudi akitokea China alikokwenda kusoma. Mkilanya amesema, Sikapundwa…