Serikali Zinazotumia Mabilioni ya Fedha za Umma Kutoa Ruzuku kwa Viwanda Vinavyoharibu Hali ya Hewa—Ripoti – Masuala ya Ulimwenguni

Joseph Loree, ambaye anaishi katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Lokichar, Turkana kaskazini mwa Kenya, anafuga mbuzi wachache kutokana na ukame wa mara kwa mara. Serikali za Kusini mwa Ulimwengu zinatumia mabilioni ya dola kutoa ruzuku kwa viwanda vinavyoathiri hali ya hewa, kama vile kilichoko Lokichar. Credit: Maina Waruru/IPS by Maina Waruru (nairobi) Jumatano,…

Read More

Chinampas wa Meksiko wako hai wakiwa wamezingirwa na vitisho – Masuala ya Ulimwenguni

Mkulima Crescencio Hernández akiangalia miche katika chinampa yake katika ardhi ya pamoja ya San Gregorio Atlapulco, katika manispaa ya Xochimilco, kusini mwa eneo kubwa la jiji la Mexico City. Credit: Emilio Godoy / IPS na Emilio Godoy (san gregorio atlapulco, mexico) Jumatano, Septemba 18, 2024 Inter Press Service SAN GREGORIO ATLAPULCO, Meksiko, Sep 18 (IPS)…

Read More

Kijana alivyonusurika kushambuliwa akidhaniwa mwizi wa mtoto

Mwanza/Mbeya. Matukio ya watu kushambuliwa, kujeruhiwa na wakati mwingine kufariki dunia kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa watoto, yameendelea kushika kasi ambapo Msafiri Msekwa (25) amenusurika kushambuliwa na kundi la watu akidhaniwa mwizi wa mtoto. Msafiri amesema alihisiwa mwizi wa mtoto baada ya kumsaidia mtoto mmoja aliyehitaji msaada wa kufikishwa kwa mama yake. “Ilikuwa saa…

Read More

Mila potofu Pwani zinavyochangia upofu

Pwani. Shirika la Kimataifa la Sightsavers limesema mila potofu au uoga umechangia watu kutotoa ushirikiano wanapobainika kuwa na ugonjwa wa vikope, umesababisha baadhi yao kuwa vipofu. Hayo yamesemwa leo Jumatano Septemba 18, 2024 na meneja miradi wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTDs), Peter Kivumbi alipokutana na mmoja wa wanafamilia ya Kifalme ya Uingereza, Sophie Helen…

Read More

73 wapenya, kuchuana kanda tatu za Chadema

Dar es Salaam. Watia nia 73 wameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi mbalimbali katika kanda tatu za chama hicho. Hatua hiyo imefikiwa baada ya usaili wa watia nia 79 kutoka Kanda ya Pwani inayoundwa na mikoa ya (Dar es Salaam na Pwani), Kusini (Mtwara, Ruvuma na Lindi) na…

Read More