Polisi walivyotinga kupekua nyumbani kwa Boni Yai
Dar es Salaam. Msafara wa magari ya polisi uliombeba aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Bon Yai’ ukiwasili nyumbani kwake Mbezi Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Msemaji wa Polisi, David Misime amesema wanamshikilia kwa makosa mbalimbali ya jinai. “Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob, mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi, jijini…