WANA-DGSS WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA IKIHIMIZA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA MAAMUZI
Septemba 15 ya kila mwaka, wananchi kote duniani huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, siku ambayo inelanga kukumbusha na kuhimiza majukumu na wajibu wa kukuza na kudumisha kanuni za demokrasia duniani kote. Leo Jumatano Septemba 18, 2024 wadau wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) wameitumia siku hiyo kama sehemu ya maadhimisho ambapo kwa pamoja…