Serikali kuimarisha sekta ya afya kwa mama na mtoto, Tanzania kuandaa mkutano wa 11 wa Merck Foundation
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali ya Tanzania imeendelea kuwekeza katika sekta ya afya, hasa huduma za mama na mtoto, jambo lililoifanya nchi kuimarika katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya kimataifa, yakiwemo Malengo ya Milenia na Maendeleo Endelevu (SDGs). Uwekezaji huu umeiwezesha Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 11 wa Taasisi ya Merck Foundation,…