Gadiel aanza kazi Chippa United, Majogoro kicheko
KIUNGO mkabaji wa Chippa United, Baraka Majogoro amefurahishwa kucheza na Mtanzania mwenzake beki Gadiel Michael aliyejiunga na timu hiyo, akiamini kuna kitu kikubwa kitaongezeka. Gadiel alijiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Cape Town Spurs ya nchini humo ambapo Majogoro amesema amepata mtu wa kushauriana, hivyo anaamini watafanya kazi kwa ubora wa…