Leo ni siku ya kadi, mara ya mwisho lini ulimtumia umpendaye?
Dar es Salaam. Kulikuwa na utaratibu wa kutumiana kadi za aina na jumbe mbalimbali. Kuna waliofanya hivyo kuwapa zawadi waliokuwa wakiadhimisha siku zao za kuzaliwa, kumaliza hatua fulani ya masomo, kupata mtoto na vitu vya namna hiyo. Baada ya kukua kwa teknolojia na ujio wa simu za mkononi, kutumiana kadi za makaratasi kumepungua. Lakini, kwa…