Hezbollah yailaumu Israel kwa mashambulizi ya ‘pagers’ – DW – 18.09.2024
Mamia ya vifaa vya mawasiliano vinavyotumika na kundi linaloungwa mkono na Iran nchini Lebanon, Hezbollah, vimeripuka na kusababisha vifo vya watu tisa na wengine 2,800 kujeruhiwa. Waziri wa Afya wa Lebanon, Firass Abiad, amesema kati ya watu hao waliojeruhiwa watu mia mbili wako katika hali mahututi. “Kama tulivyosema jana, watu waliojeruhiwa wanakaribia 3000. Wengi wamejerhiwa…