Madaktari watoa neno matumizi ya vilainishi kwa wanawake
Dar es Salaam. Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika kuwashawishi wateja kununua vilainishi hivyo, ili waepuke maambukizi,…