Mwanafunzi apotea Babati wakiwa kwenye ziara ya masomo
Arusha. “Anayehitajika kuwajibika ni uongozi wa shule, wao ni wazembe. Ninamtaka mtoto wangu akiwa hai, siyo kwamba tunashidwa kukaa naye nyumbani, tumewaletea watoto wetu muwatunze, hatudaiwi chochote. “Halafu unaniambia mnampeleka safari haonekani, hapana haiwezekani, hata jana (Septemba 16) mbele ya Ofisa wa Upelelezi nimewaambia nahitaji mtoto wangu akiwa hai, kama hawana ulinzi, ni nini walienda…