PIGA PENALTY UONDOKE NA KITITA

MCHONGO ni mmoja tu leo piga penalty ushinde kitita cha kutosha kupitia mchezo mpya wa kasino unaoitwa Beach Penalties ambao unaptikana kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet. Kwenye mchezo wa Beach Penalties unachotakiwa kukifanya ni kimoja kufunga penalty zako tano ambazo zitakua na odds nzuri halafu unayakua zako mkwanja, Hii ni ya kipekee na…

Read More

WAANDISHI WATAKIWA KUANDIKA HABARI ZA LISHE KWA KUFUATA VYANZO SAHIHI

NA MWANDISHI WETU WAANDISHI wa Habari nchini wametakiwa kutafuta taarifa sahihi kutoka kwenye vyanzo,chombo ama taasisi husika ili kufanikisha kuandika kwa usahihi masuala yanayohusu lishe ili kufikisha ujumbe stahiki kwa wananchi pasipo kupotosha. Ofisa Uhusiano na Mtafiti wa Lishe kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania,Hamza Mwangomela,a mebainisha hayo leo Septemba 26, 2024 jijini Dar…

Read More

Benki ya Exim yafanya Tamasha kusaidia wagonjwa wa afya ya akili

  BENKI ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangangia huduma za afya hususani kwa watu wenye tatizo la afya ya akili. Katika kusherehekea miaka 27 ya kuwahudumia Watanzania tangu kuanzishwa kwake, benki ya Exim imekuja na Exim Bima Festival 2024, ikiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, huku ikiwaleta…

Read More

TUKAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI LA MKAZI ILI TUPIGE KURA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 11 hadi 20, 2024 na upigaji wa kura 27, Novemba 2024 kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa. Vikundi vya Jogging vikiwa vinafanya mazoezi kwa…

Read More

Azam yabanwa, Singida yarejea kileleni

Timu za Azam na Singida Black Stars zimeshindwa kutamba kwenye michezo yao ya Ligi Kuu Bara leo baada ya kulazimishwa sare. Azam FC iliyotoka kupoteza mabao 2-0, dhidi ya Simba Septemba 26, ilishindwa kuwika ugenini kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa uliopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma na kukifanya kikosi hicho kutoka sare ya tatu…

Read More

Bodi yashusha neema ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

*Bilioni 38 zaongezwa kuondoa ukata kwa wanafunzi kutoka 200,000 hadi 530,000 Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu Juu (HESLB) kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imetanga Shilingi bilioni 787 Kwa ajili ya jumla ya wanafunzi 245,799. Hayo ameyasema Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Dkt.Bill Kiwia wakati akitangaza orodha ya…

Read More

Kocha Tabora Utd aomba muda

KOCHA Mkuu wa Tabora United, Mkenya Francis Kimanzi amesema, anahitaji muda zaidi ili kutengeneza kikosi cha ushindani msimu huu. Kauli ya Kimanzi inajiri baada ya kikosi hicho kulazimishwa sare ya bao 1-1 jana dhidi ya KenGold ikiwa ni ya pili msimu huu katika michezo sita ya Ligi Kuu Bara aliyoiongoza, baada ya kushinda miwili na…

Read More

MHE. SILAA ATEMBELEA SOKO LILILOUNGUA CHANIKA

MBUNGE wa Jimbo la Ukonga na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amefanya ziara ya kutembelea soko la Chanika leo Septemba 29, 2024, ambalo lilipatwa na moto hivi karibuni. Mhe. Silaa aliongozana na viongozi wa soko na kukagua uharibifu mkubwa uliofanyika, ambapo aliona athari za moja kwa moja kwa wafanyabiashara na…

Read More

Beach Penalties mkwanja nje nje leo

  Usikubali kukaa kinyonge wikiendi hii kwani kuna mchezo mpya wa kasino wa kibabe pale Meridianbet unaitwa Beach Penalties, Mchezo huu unaweza kukufanya ukashinda mkwanja wa kutosha leo. Uwezo wako wa kupiga penalty ndio utakaoweza kukufanya uibuke na mamilioni, Kwani unachotakiwa kukifanya ni kupiga penalty na kuziweka nyavuni halafu unaondoka na mkwanja wako. Kumekua na…

Read More