Meli yenye misaada ya kibinadamu kutua Sudan
Uturuki. Mamlaka ya Kukabiliana na Maafa na Dharura (AFAD), imetuma meli kutoka nchini Uturuki ambayo imebeba tani 2,995 za misaada ya kibinadamu kuelekea Sudan kunakoendelea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu sasa. Makamu wa Rais wa Afad, Hamza Tasdelen amesema tani 2,955 za misaada hiyo ya chakula, malazi, vifaa vya afya, jenereta pamoja…