NBC yaahidi kuboresha mashindano ya Gofu

  MASHINDANO ya siku tatu ya Gofu ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament yamehitimswa mwishoni mwa wiki jijini Arusha huku wadhamini wakuu wa mashindano hayo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakiahidi kuendelea kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili kuyoangozea ubora na ushindani utakaowavutia zaidi washiriki kutoka ndani na nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…

Read More

Rais Samia ataka kila mtu kuhakikisha Taifa linabaki salama

Na Mwamdishi Wetu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha Taifa linabaki kuwa moja na salama, hivyo kulitaka Jeshi la Polisi kuwa macho katika kipindi chote cha uchaguzi kuanzia wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024 hadi uchaguzi mkuu mwakani. Ameyasema hayo leo Septemba 17,2024 wakati akizunga Mkutano Mkuu…

Read More

Je, wagonjwa wapo salama kiasi gani wanapopatiwa huduma za afya?

Dar es Salaam. Unajihisi salama kiasi gani unapokuwa katika zahanati, kituo cha afya au hospitali unapatiwa huduma za matibabu ya maradhi au jeraha lolote? Swali hilo linaakisi uhalisia wa wanayoyapitia baadhi ya wagonjwa wanapokuwa katika huduma za matibabu, ama wapone au kusababishiwa matatizo zaidi na hatimaye kupoteza maisha. Athari za matibabu kwa wagonjwa aghalabu, husababishwa…

Read More

Chan 24 kupigwa Tanzania Februari mwakani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) jana limezihakikishia Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa fainali za Chan 2024 huku likitaja tarehe ambayo mashindano hayo yataanza. Akizungumza muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati ya utendaji cha Caf jijini Nairobi, Kenya, Rais wa shirikisho hilo, Patrice Motsepe alisema Chan itafanyika Februari Mosi hadi 28…

Read More

Kocha Kagera Sugar afichua kinachowafelisha

KITENDO cha Kagera Sugar kushindwa kupata hata bao moja katika dakika 360 ambazo ni sawa na mechi nne za Ligi Kuu Bara, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Paul Nkata kutaja mambo manne yaliyopo nyuma yake. Kagera Sugar ambayo imecheza mechi nne msimu huu, bado inasaka angalau kufunga bao la kwanza kwani haijafanikiwa kutikisa nyavu za…

Read More

Rais Samia ang’aka, azijibu balozi za Umoja wa Ulaya

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amejibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini, yaliyotaka uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu, akisema Tanzania ni nchi huru haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake. Katika majibu yake hayo, amewashutumu mabalozi hao akisema walichokitamka haamini kama ni maelekezo ya…

Read More