Mashindano ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament 2024 Yahitimishwa Arusha, NBC Yaahidi Maboresho Zaidi.
Mashindano ya siku tatu ya Gofu ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament yamehitimswa mwishoni mwa wiki jijini Arusha huku wadhamini wakuu wa mashindano hayo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakiahidi kuendelea kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili kuyoangozea ubora na ushindani utakaowavutia zaidi washiriki kutoka ndani na nje ya nchi. Mashindano hayo ya siku tatu…